• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Arusha Regional

The United Republic of Tanzania President Office Regional Administration and Local Government Arusha Regional

  • Home
  • About Us
    • History
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa mikoa waliopita-Arusha
    • Dira na dhima
    • The basics
    • Strategies
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Units
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • District
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Councils
    • Arusha CC
    • Arusha DC
    • Meru DC
    • Monduli DC
    • Karatu DC
    • Longido DC
    • Ngorongoro DC
  • Investment Opportunities
    • Tourism
    • Livestock
    • Agricultre
    • Industrial
  • Our Service
    • Health
    • Education
    • Water
    • Land
    • Tourism
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events

KANISA KATHOLIKI LAPONGEZWA KWA KUTEKELZA MIRADI YA HUDUMA ZA JAMII

Posted on: July 19th, 2024


Na Elinipa Lupembe


Kanisa Katholiki kupitia Kituo cha Malezi ya watoto cha St. Mary's Children's, limepongezwa kwa kutekeleza miradi ya maendeleo inayotoa huduma kwa jamii chini huku Serikali ikithamini mchango wa kanisa hilo.


Pongezi hizo zimetolewa na Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa Ndugu, Godfrey Eliakimu Mnzava, muda mfupi kabla ya kuweka Jiwe la Msingi kwenye Kituo hicho,   kilichojengwa na Kanisa wenye thamani ya shilingi milioni 950, kilichopo kata ya Kikwe Halmashauri ya Meru wilaya ya Arumeru leo Julai 19, 2024. 


Amesema kuwa, licha ya Kanisa hilo kutoa huduma za kiroho kwa karne kadhaa sasa lakini limekwenda mbele zaidi katika kutoa huduma kwa jamii katika seka za afya, elimu na kutekeleza miradi mingi kwa kuwa na Programa mbalimbali na endelevu za kutoa msaada kwa watu wenye uhitaji na majitaji maalum.


Ndugu Mnzava kabla ya kuweka jiwe la Msingi, amepongeza ujenzi wa Kituo hicho cha Kulelea watoto wenye mahitaji Maaluku na kusisitiza kuwa Serikali inatambua na kuthamini mchango wa kanisa hilo katika kutoa huduma kwa jamii ambazo kimsingi lilikuwa ni jukumunla Serikali.


"Serikali inathamini sana mchango mkubwa wa Kanisa Katholiki kwa jamii,  hivyo ni vema  wananchi tuendelee kutumia fursa zinazotolewa na kanisa kwa Maendeleo ya jamii na Taifa kwa ujumla wake". Amesema Mnzava


Hata hivyo ametumia wasaa huo kutoa Jumbe za Kidumu za Mwenge wa Uhuru, ikiwemo mapambano dhidi ya ugonjwa wa Malari, matumizi ya  Dawa za Kulevya, VVU - UKIMWI sambamba na kuhamasisha wananchi kuzingatia Lishe Bora pamoja na kujiandaa na Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa kujiandikisha kwenye daftari la Wapiga kura.


Aidha amewahimiza  wananchi kuepukana na Rushwa  na kuacha tabia ya kuifanya Rushwa kuwa sehemu ya maisha yetu na kuwasisitiza kuichukia Rushwa na kuifanya ni adui wa haki na maisha ya bimadamu.


Kauli Mbiu ya Mwenge wa Uhuru 2024 ni "Tunza Mazingira, Shiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa ujenzi wa Taifa Endelevu"



Announcements

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • View All

Latest News

  • RC MAKONDA AFUNGUA MKUTANO WA 33 WA WAKUU WA MAJESHI YA ULINZI (SADC).

    May 30, 2025
  • SAMIA MOTOCROSS CHAMPIONSHIP KUREJEA MSIMU WA PILI JULAI 12, 2025

    May 27, 2025
  • MKOA WA ARUSHA KUWA MWENYEJI WA MKUTANO MKUBWA WA WAKUU WA MAJESHI WA SADC

    May 25, 2025
  • UJENZI WA UWANJA WA AFCON ARUSHA SIO MICHEZO TU, NI FURSA YA KIUCHUMI

    May 24, 2025
  • View All

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
More Videos

Quick Links

  • Guildlines Towards the use of ICT In Government
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Public Servant Portal
  • Takwimu
  • TANAPA

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap
    • FAQ

Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.