• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Arusha Regional

The United Republic of Tanzania President Office Regional Administration and Local Government Arusha Regional

  • Home
  • About Us
    • History
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa mikoa waliopita-Arusha
    • Dira na dhima
    • The basics
    • Strategies
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Units
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • District
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Councils
    • Arusha CC
    • Arusha DC
    • Meru DC
    • Monduli DC
    • Karatu DC
    • Longido DC
    • Ngorongoro DC
  • Investment Opportunities
    • Tourism
    • Livestock
    • Agricultre
    • Industrial
  • Our Service
    • Health
    • Education
    • Water
    • Land
    • Tourism
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events

KAYA 140 KIJIJI CHA LOPOLUN ZANUFAIKA NA FEDHA ZA KAYA ZA MPANGO; SERIKALI YATOA MILIONI 6.7....

Posted on: March 15th, 2024

KAYA 140 KIJIJI CHA LOPOLUN ZANUFAIKA NA FEDHA ZA KAYA ZA MPANGO; SERIKALI YATOA MILIONI 6.7


Zoezi la Uhawilishaji fedha za walengwa Kaya za mpango katika dirisha la Novemba/Disemba 2023 limefanyika leo tarehe 26 Machi, 2024 Wilaya ya Ngorongoro katika kijiji cha Lopolun ambapo jumla ya Kaya 140 zimenufaika.


Mkuu wa Wilaya ya Ngorongoro Mhe. Kanali Wilson Sakulo pamoja na mwakilishi kutoka Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro na Mratibu wa TASAF Wilaya Bw. Thomas Nade,  wamefika katika Ofisi ya Kijiji cha Lopolun Kata ya Olorien Magaiduru kushuhudia uendeshaji wa zoezi hilo ukifanyika, huku kiasi cha shilingi 6, 750, 000.00 kikitolewa kwa kaya 140.


Ikumbukwe Serikali ya awamu ya sita chini ya Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetoa kiasi cha shilingi 442, 540, 000.00 za kitanzania katika Vijiji 68 wilayani Ngorongoro kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Jamii -TASAF


Mfuko huu wa TASAF ulianzishwa na Serikali mwaka 2000, ikiwa ni moja ya mbinu za kutokomeza umasikini.


#ngorongoroInapepea.

Announcements

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO MTIHANI WA UTAMIRIFU (MOCK) 2025 DARASA LA SABA (VII)- MKOA WA ARUSHA June 07, 2025
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • View All

Latest News

  • KARIBU ARUSHA Mhe. KENAN LABAN KIHONGOSI MKUU WA MKOA WA ARUSHA

    June 26, 2025
  • KARIBU ARUSHA Mhe. KENAN LABAN KIHONGOSI MKUU WA MKOA WA ARUSHA

    June 26, 2025
  • SIKU YA KWANZA; WAKAZI WA ARUSHA WAJITOKEZA KWENYE KAMBI YA MADAKTARI BINGWA NA MABINGWA WABOBEZI

    June 23, 2025
  • RC MAKONDA ASHIRIKI MARATHON YA KKKT 2025

    June 21, 2025
  • View All

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
More Videos

Quick Links

  • Guildlines Towards the use of ICT In Government
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Public Servant Portal
  • Takwimu
  • TANAPA

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap
    • FAQ

Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.