• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Arusha Regional

The United Republic of Tanzania President Office Regional Administration and Local Government Arusha Regional

  • Home
  • About Us
    • History
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa mikoa waliopita-Arusha
    • Dira na dhima
    • The basics
    • Strategies
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Units
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • District
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Councils
    • Arusha CC
    • Arusha DC
    • Meru DC
    • Monduli DC
    • Karatu DC
    • Longido DC
    • Ngorongoro DC
  • Investment Opportunities
    • Tourism
    • Livestock
    • Agricultre
    • Industrial
  • Our Service
    • Health
    • Education
    • Water
    • Land
    • Tourism
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events

KAYA 45 NDANI YA HIFADHI YA NGORONGORO ZAPEWA SIKU 30 KUHAMA

Posted on: April 29th, 2021

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Iddi Hassan Kimanta ameuwagiza uongozi wa Hifadhi ya Mamlaka ya Ngorongoro (NCAA) kuhamisha Kaya 45 za watu zilizohamishwa awamu ya kwanza kwenda katika Kijiji cha Jema na wakarudi tena hifadhini.

Ameyasema hayo alipokuwa akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Jema  Kata ya Oldonyosambu  Wilayani Ngorongoro kwenye mkutano wa hadhara baada ya kufanya ziara ya kukagua miundombinu iliyopo katika Kijiji hicho.

Kimanta amesema, watu waliopo katika Kaya hizo 45 walishalipwa shahiki zao zote na baadhi yao waliuza maeneo waliyogawiwa na serikali katika Kijiji cha Jema na kurudi tena hifadhini.

Amesema, Kaya hizo 45 zinatakiwa kurudi Kijiji cha Jema ndani ya siku 30 baada ya kutolewa tangazo la kuhamu.

Serikali imewekeza zaidi ya bilioni 4 katika Kijiji cha Jema kwa kuleta miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo Maji, Shule na Zahanati.

Naibu Kamishina wa uwifadhi ya Mamlaka ya Ngorongoro Christopher Timbuka amesema, jumla ya Kaya 113 zilihamishwa kati ya mwaka 2006 hadi 2021 na Kaya 45 zilirudi tena eneo la hifadhi.

Amesema kaya hizo ndizo zinatakiwa kutoka katika eneo la hifadhi na kurudi katika Kijiji cha Jema au eneo lingine mbali watakalo chagua.

Kamishina Timbuka amesema Mamlaka ilinunua jumla ya hekari 13,000 kwa ajili ya kuwagawia watu wote waliotakiwa kuhama eneo la hifadhi.

RC Kimanta amefanya ziara ya siku 2 katika Kijiji cha Jema Wilaya ya Ngorongoro

na kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo Maji na Shule.



Announcements

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • View All

Latest News

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • View All

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
More Videos

Quick Links

  • Guildlines Towards the use of ICT In Government
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Public Servant Portal
  • Takwimu
  • TANAPA

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap
    • FAQ

Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.