Usiku wa Mkesha wa mwaka Mpya mkoa wa Arusha leo Disemba 31, 2024 umepambwa na burudani mbalimbali ikiwemo mbio za Farasi, Pikipiki pamoja na mbio za magari, suala ambalo limekuwa kivutio kikubwa kwa mamia ya wananchi wa Mkoa wa Arusha na mikoa mingineyo ambao wamefika Mkoani Arusha kwaajili ya kusherehekea Ukaribisho wa mwaka 2025.Sherehe hizi ambazo zinaingia siku yake ya tatu na ya kilele, inaratibiwa na kusimamiwa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda.
Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.