Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. John Mongella akikata Keki na kuwalisha wanafunzi wa shule ya Sekondari Maalum ya Patandi katika kusherekea kumbukizi ya siku ya kuzaliwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan, mapema leo hii.
Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.