Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe.John Mongella amewahasa vijana kuwa wazalendo na kuifia nchi yao.
Ameyesema hayo alipokuwa akizungumza na viongozi mbalimbali wa Mkoa na baadhi ya wananchi walipoadhimisha siku ya mashujaa Mkoani Arusha.
Amesema kumbukumbu ya mashujaa walioipigania nchi ni fundisho kwetu kuendelea kudumisha amani, umoja na mshikamano ili nchi yetu iwezo kusonga mbele.
Mashujaa hao waliweza kuipigania nchi ndio maana leo nchi yetu ina amani na utulivu mwingi.
Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.