• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Arusha Regional

The United Republic of Tanzania President Office Regional Administration and Local Government Arusha Regional

  • Home
  • About Us
    • History
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa mikoa waliopita-Arusha
    • Dira na dhima
    • The basics
    • Strategies
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Units
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • District
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Councils
    • Arusha CC
    • Arusha DC
    • Meru DC
    • Monduli DC
    • Karatu DC
    • Longido DC
    • Ngorongoro DC
  • Investment Opportunities
    • Tourism
    • Livestock
    • Agricultre
    • Industrial
  • Our Service
    • Health
    • Education
    • Water
    • Land
    • Tourism
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events

MAAFISA RASILIMALI WATU WATAKIWA KUWAWEZESHA WATUMISHI KUWA WABUNIFU..

Posted on: November 4th, 2024

Na Elinipa Lupembe.

Maafisa Rasilimali watu afrika wamekumbushwa  kuwa, uongozi wa rasilimali watu katika sekta ya Umma ni zaidi ya kuajiri na kusimamia watumishi ni  kwenda mbali zaidi kwa kianda mazingira wezeshi kwa  wafanyakazi ikiwa ni pamoja na kukuza uwezo wao, kuvumbua, na kuleta mabadiliko chanya katika utendaki kazi.

Rai hiyo imetolewa na Mkuu wa Wilaya ya Monduli  Mhe.Festo Shemu Kiswaga, wakati akitoa salamu za Mkoa wa Arusha kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa huo, Mhe.Paul Christian Makonda kwenye Mkutano wa 9 wa Mtandao wa Mameneja na Wasimamizi wa Rasilimali Watu katika sekta za Umma Barani Afrika 2024,  unaofanyika mkoani Arusha kwenye Kituo cha Mikutano ya Kimataifa Arusha (AICC) mapema leo Novemba 04, 2024.

Amesema kuwa, viongozi wetu wa rasilimali watu wanapaswa kuwa na mbinu za kisasa zinazojumuisha maarifa, uadilifu, na ufanisi katika kujenga watumishi wanaoweza kustahimili na kubadilika na changamoto zinazokwenda sambamba na mabadiliko ya teknolojia na mahitaji ya kiuchumi kwenye nchi za Afrika.

Aidha, amewakaribisha washiriki na wageni wote,  Arusha kwa kuwahakikishia usalama  wao na kuwa mkoa unajivunia kuwa wenyeji wa mkutano huo muhimu wenye lengo la kuimarisha uongozi na utawala bora, pamoja na uvumbuzi katika sekta ya Umma.

"Tunamshukuru Mhe. Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan alivyowekeza nguvu na fedha nyingi katika sekta ya Utumishi  na amekua mfano bora kwa watumishi wa Umma,  wanalipwa mishahara kwa wakati, wanapandishwa madaraja, wanapewa nafasi za kujiendeleza kimasomo pale inapohitaji jambo linalochochea watumishi kufanyakazi kwa bidii na kusukuma mbele gurudumu la amendeleo nchini" Ameweka wazi Mhe.Kiswaga


Kauli mbiu ya mkutano huo ni "Utawala Stahimilivu na Ubunifu; Kutunza Sekta ya Umma Ijayo Kupitia Uongozi wa Rasilimali Watu"





Announcements

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • View All

Latest News

  • RC MAKONDA AFUNGUA MKUTANO WA 33 WA WAKUU WA MAJESHI YA ULINZI (SADC).

    May 30, 2025
  • SAMIA MOTOCROSS CHAMPIONSHIP KUREJEA MSIMU WA PILI JULAI 12, 2025

    May 27, 2025
  • MKOA WA ARUSHA KUWA MWENYEJI WA MKUTANO MKUBWA WA WAKUU WA MAJESHI WA SADC

    May 25, 2025
  • UJENZI WA UWANJA WA AFCON ARUSHA SIO MICHEZO TU, NI FURSA YA KIUCHUMI

    May 24, 2025
  • View All

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
More Videos

Quick Links

  • Guildlines Towards the use of ICT In Government
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Public Servant Portal
  • Takwimu
  • TANAPA

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap
    • FAQ

Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.