Madaktari Bingwa wa Magonjwa mbalimbali wanatarajia kutoa huduma kwa gharama nafuu kwa wakazi wa mkoa wa Arusha kwa siku tano, kuanzia tarehe 20 - 24 MEI 2024 kwenye Hospitali zote za wilaya za Mkoa wa Arusha.
* Hospitali ya Jiji la Arusha
* Hospitali ya wilaya ya Longido
* Hospitali ya Wilaya ya Monduli
* Hospitali ya wilaya ya Meru
* Hospitali ya Wilaya ya Karatu
* Hospitali ya Olturumet halmashauri ya Arusha
* Hospitali ya Wilaya y ngorongoro
HUDUMA ZITAKAZOTOLEWA NI KAMA IFUATAVYO:-
1. Huduma za afya kwa watoto na watoto wachanga
2. Huduma za afya ya uzazi, wajawazito na Magonjwa ya Wanawake
3. Huduma za Magonjwa ya ndani (shinikizo la damu, Kisukari n.k)
4. Huduma za upasuaji
5. Huduma za ganzi na Usingizi
Huduma zitatolewa kwa gharama nafuu na BIMA za Afya za NHIF zianatumika.
*Wananchi wote Mnakaribishwa*
MADAKTARI BINGWA WA RAIS SAMIA TUMEKUFIKIA; KARIBU TUKUHUDUMIE✍
Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.