• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Arusha Regional

The United Republic of Tanzania President Office Regional Administration and Local Government Arusha Regional

  • Home
  • About Us
    • History
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa mikoa waliopita-Arusha
    • Dira na dhima
    • The basics
    • Strategies
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Units
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • District
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Councils
    • Arusha CC
    • Arusha DC
    • Meru DC
    • Monduli DC
    • Karatu DC
    • Longido DC
    • Ngorongoro DC
  • Investment Opportunities
    • Tourism
    • Livestock
    • Agricultre
    • Industrial
  • Our Service
    • Health
    • Education
    • Water
    • Land
    • Tourism
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events

MADAKTARI WA MIKOA NA WILAYA, WATAKIWA KUFUATILIA UTOAJI HUDUMA ZA AFYA KWA WAGONJWA KWENYE MAENEO YAO...

Posted on: December 13th, 2023

Na Elinipa Lupembe.


Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais - TAMISEMI anayesimamia Afya, Dkt. Wilson Charles Mahera, akizungumza kwenye mkutano wa hafla fupi ya Ugawaji wa Magari ya Afya kwa mikoa ya Arusha na Manyara, kwenye ukumbi wa mikutano, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha, tarehe 13 Desemba, 2023, amesema kuwa, Serikali imeendelea kuboresha utoaji na upatikananji wa huduma za afya nchini kwa kuboresha miundombinu katika sekta hiyo.


Dkt. Mahera, ameweka wazi kuwa, Serikali ya awamu ya sita katika kuhakikisha jamii inapata huduma za afya kuanzia ngazi ya kijiji, imeendelea kuwekeza kwenye miundombinu ya vituo vya kutolea huduma za afya, nyumba za watumishi wa afya, dawa, vifaa na vifaa tiba.


Hata hivyo, serikali katika kutekeleza hayo yote, imeenda mbali zaidi na kutoa  takribani magari 528 ya idara za Afya mikoa yote Tanzania, huku magari 212 yakielekezwa kwenye ufuatiliaji wa shughuli za afya kwenye mikoa na halmashauri.


Aidha, amewataka watumishi wa afya, kutumia magari hayo katika shughuli zilizoelekezwa na Serikali na kuhakikisha wagonjwa wanapata huduma bora na stahiki, ikiwa ni pamoja na kupambana na vifo vya watoto na wamama wajawazito wakati wa kujifungua.


"Waganga wakuu wa mikoa na halmashauri, tumieni magari haya kufanya ufuatiliaji, tokeni ofisini, nendeni kwenye vituo vya afya mkaone namna wagonjwa wanavyohudumiwa, hakikisheni wagonjwa wanapata huduma kwa wakati, isitokee mgonjwa anapoteza maisha kwa kucheleweshwa kupata huduma, serikali haitamvumilia mtumishi wa aina hiyo" Amesema Dkt. Mahera.


Ameongeza kuwa, kwa sasa vifo vya mama na mtoto vimepungua nchini, kutoa  vifo 555 mpaka kufikia vifo 104 kwa kizazi hai kimoja, hii ni kutokana  na taarifa aliyoipokea Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, mwezi Oktaba 2023, taarifan inayothibitisha namna Serikali ya awamu ya sita inavyofanya kazi ya kuwahudumia wananchi.


Awali, akimkaribisha Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais - TAMISEMI, Mhe. Mohamed Mchengerwa, Dkt. Mahera amesema kuwa,  jumla ya magari 13 yatakabidhiwa kwa viongozi wa  mikoa ya Arusha na Manyara, ambapo magari 5 kwa mkoa wa Arusha na magari 8 kwa mkoa wa Manyara, yote yakielekezwa kufanya shughuli za ufuatiaji shirikishi wa huduma za afya.


Announcements

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • View All

Latest News

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • View All

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
More Videos

Quick Links

  • Guildlines Towards the use of ICT In Government
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Public Servant Portal
  • Takwimu
  • TANAPA

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap
    • FAQ

Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.