Wananchi kutoka maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Arusha wakiwa wamekusanyika katika viwanja vya stendi ya Kilombero Mkoani huo kushereke miaka 61 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, Mgeni rasmi akiwa ni Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Mashaka Biteko
Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.