• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Arusha Regional

The United Republic of Tanzania President Office Regional Administration and Local Government Arusha Regional

  • Home
  • About Us
    • History
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa mikoa waliopita-Arusha
    • Dira na dhima
    • The basics
    • Strategies
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Units
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • District
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Councils
    • Arusha CC
    • Arusha DC
    • Meru DC
    • Monduli DC
    • Karatu DC
    • Longido DC
    • Ngorongoro DC
  • Investment Opportunities
    • Tourism
    • Livestock
    • Agricultre
    • Industrial
  • Our Service
    • Health
    • Education
    • Water
    • Land
    • Tourism
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events

MAELFU WASHIRIKI IBADA MAALUM YA KUMBUKIZI YA MIAKA 40 YA KIFO CHA HAYATI MORINGE SOKOINE

Posted on: April 12th, 2024

Viongozi mbalimbali kutoka kushoto ni Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa, Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda, wakiwa kwenye Ibada Maalum ya Kumbukumbu ya miaka 40 ya kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu wa Serikali ya awamu ya kwanza, Hayati Edward Moringe Sokoine, inayofanyika nyumbani kwake Kijiji cha Enguik, Kata ya Monduli Juu, wilaya ya Monduli leo 12, Aprili, 2024.


Maelfu ya wananchi wakiwa kwenye Ibada Maalum ya Kumbukumbu ya Miaka 40 ya aliyekuwa Waziri Mkuu wa Serikali ya awamu ya kwanza, Hayati Edward Moringe Sokoine, iliyofanyika nyumbani kweke kijiji cha Enguik, kata ya Monduli Juu, wilaya ya Monduli, leo tarehe 12 Aprili, 2024.

Wazee Wastaafu Mzee Stephene Wasira na Mzee Yusuph Makamba wakizungumza muda mfupi kabla ya kuanza Ibada Maalum ya Kumbukizi ya Miaka 40 ya Kifo cha Hayati Edward Moringe Sokoine, iliyofanyika nyumbani kwake kijiji cha Enguik kata ya Monduli Juu, wilaya ya Monduli Aprili 12,2024

Mama Regina Lowassa ameungana na Wageni na viongozi mbalimbali kushiriki Ibada Maalum ya Kumbukumbu ya miaka 40 ya kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu wa Serikali ya awamu ya kwanza, Hayati Edward Moringe Sokine, inayofanyika nyumbani kwake Kijiji cha Enguik, Kata ya Monduli Juu, wilaya ya Monduli leo 12, Aprili, 2024.

Wageni na viongozi mbalimbali Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Taifa Abdulrahaman Kinana, akizungumza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. George Boniface Simbachawene (Mb) (kushoto) na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia  ya Habari Mhe. Nape Mosses Nnauye (kulia), muda mgupi kabla ya kuanza Ibada Maalum ya Kumbukumbu ya miaka 40 ya kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu wa Serikali ya awamu ya kwanza, Hayati Edward Moringe Sokoine, inayofanyika nyumbani kwake Kijiji cha Enguik, Kata ya Monduli Juu, wilaya ya Monduli leo 12, Aprili, 2024


Askofu wa Kanisa la Rise & Shine Boniface Mwamposa ameungana na wagene na viongozi mbalimbali wa dini, chama na Serikali, kushiriki Ibada Maalum ya Kumbukumbu ya miaka 40 ya kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu wa Serikali ya awamu ya kwanza, Hayati Edward Moringe Sokine, inayofanyika nyumbani kwake Kijiji cha Enguik, Kata ya Monduli Juu, wilaya ya Monduli leo 12, Aprili, 2024.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiteta jambo na Mama Fatma Karume Mjane wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar Hayati Abeid Amani Karume ambaye pia alihudhuria Ibada ya Misa Takatifu ya Kumbukizi ya miaka 40 tangu kutokea kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Edward Moringe Sokoine. Ibada hiyo ya Misa Takatifu imefanyika nyumbani kwa Hayati Sokoine Monduli Mkoani Arusha tarehe 12 Aprili, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan akizungumza na Askofu Mkuu Mstaafu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo, muda mfupi baada ya kukamilika kwa Ibada Maalum ya Kumbukumbu ya miaka 40 ya kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu wa serikali ya awamu ya kwanza Hayati Edward Moringe Sokoine, leo Aprili 12, 2024 nyumbani kwake kaijiji cha Enguik kata ya Minduli Juum wilaya ya Monduli.

Mheshimiwa Rais, Dkt.Samia Suluhu Hassan atashiriki ibada hiyo inayongozwa Askofu wa Jimbo Kuu Katoliki Arusha Askofu Issac Aman.

Hayati Edward Moringe Sokoine alifariki tarehe 12 Aprili, 1984 ambaye sasa imetimia miaka 40 ya kifo chake.

#arushafursalukuki

Announcements

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • View All

Latest News

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • View All

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
More Videos

Quick Links

  • Guildlines Towards the use of ICT In Government
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Public Servant Portal
  • Takwimu
  • TANAPA

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap
    • FAQ

Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.