Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango amewasili Mkoani Arusha na kupokelewa na Mkuu wa Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda, jioni ya leo Aprili 30, 2024.
Makamu wa Rais amefika mkoani Arusha kwaajili ya kushiriki Maadhimisho ya sikuu ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi, yanayofanyika Kitaifa Mkoani Arusha, tarehe 01, Mei 2024, kwenye Uwanja wa Michezo wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha.
Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.