MANDALIZI YA MEI MOSI YANAENDELEA UWANJA WA SHEIKH AMRI ABEID ARUSHA
Kamishna wa Kazi, Suzan Wiliam Malangwa pamoja na Mtendaji Mkuu wa Osha, Hadija Mwenda wako Mkoani Arusha kwajili ya Maandalizi ya Sherehe za Mei Mosi zitakazofanyika kitaifa Mkoani wa Arusha tarehe 01 Mei, 2024.
Viongozi hao wametembelea uwanja wa Sherikh Amri Abeid, wakiongozwa na Mwenyeji wao Katibu Tawala Msaidizi Utawala na Rasilimaliwatu, David Lyamongi na kujionea maandalizi ya uwanja yakiendelea kwa kasi.
Maadhimisho hayo ya mwaka 2024, yamebeba Kauli Mbiu ya "Nyongeza ya Mishahara ni Msingi wa Mafao Bora na Kinga Dhidi ya Hali Ngumu ya Maisha"
#arushafursalukuki
Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.