• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Arusha Regional

The United Republic of Tanzania President Office Regional Administration and Local Government Arusha Regional

  • Home
  • About Us
    • History
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa mikoa waliopita-Arusha
    • Dira na dhima
    • The basics
    • Strategies
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Units
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • District
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Councils
    • Arusha CC
    • Arusha DC
    • Meru DC
    • Monduli DC
    • Karatu DC
    • Longido DC
    • Ngorongoro DC
  • Investment Opportunities
    • Tourism
    • Livestock
    • Agricultre
    • Industrial
  • Our Service
    • Health
    • Education
    • Water
    • Land
    • Tourism
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events

MHE. KIKWETE: ATETA NA WATUMISHI WA CHUO CHA UFUNDI ARUSHA; KUHUSU MIFUMO YA UPIMAJI UTENDAJI KAZI..

Posted on: December 18th, 2023

Na Daniel Gitaro.


Naibu Waziri Ofisi ya Rais Utumishi wa Umma, Menejimenti na Utawala Bora Mhe. Riziwani kikwete amesema kuwa Serikali imeboresha mifumo ya upimaji utendaji kazi kwa watumishi wa Umma ambayo itawezesha watumishi kutekeleza majukumu yao waliyopangiwa ipasavyo na kurahisisha kutatua changamoto mbalimbali zinazowakabili watumishi.


Mhe. Kikwete amesema hayo wakati akizungumza na watumishi wa wa Chuo cha Ufundi Arusha, wakati watumishi hao wakiwa kwenye mafunzo ya mifumo ya PEPMIS na PIPMIS yaliyofanyika kwenye ukumbi wa chuo hicho.


Amesema kuwa mifumo hiyo imekuja kutokana na maelekezo ya Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ambaye alielekeza aina ya utumishi wa Umma unaohitajika na kutambua kwa urahisi namna watumishi wanavyotekeleza majukumu yao ya kila siku baada ya mfumo wa awali uliokuwa unatumika wa OPRAS kuonekana kuwa na mapungufu kadha wa kadha.


“Mifumo hii ni muhimu sana kwa Serikali kutambua watumishi ambao hawawajibiki kwenye majukumu yao sambamba na kupata mrejesho wa utendaji kazi kupitia uwasilishaji wa taarifa kila baada ya muda flani, hivyo niwatake mzingatie yale mtakayofundishwa kwa manufaa ya Taifa zima kwa ujumla”. Amesisitiza Mhe. Kikwete.


Kwa upande wake katibu Tawala Msaidizi Utawala na Rasilimali Watu, David Lyamongi amesema kuwa zoezi hilo la kutoa mafunzo hayo linaendelea vizuri mkoani humo kwa wakuu wa Taasisi zenye makao makuu mkoani humo pamoja na wakuu wa Idara za Utumishi na Utawala bora.


Hata hivyo, Mkuu wa chuo hicho Dkt. Mussa Chacha ameahidi kuendelea kushirikiana na wataalam wanatoa mafunzo hayo ili kuhakikisha yanaleta manufaa huku akikiri kuwa mfumo huo utarahisisha upimaji utendaji kazi wa kila mtumishi kwa haki.


#arushafursalukuki

Announcements

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • View All

Latest News

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • View All

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
More Videos

Quick Links

  • Guildlines Towards the use of ICT In Government
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Public Servant Portal
  • Takwimu
  • TANAPA

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap
    • FAQ

Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.