Tunajivunia Miaka mitatu ya Kishindo, Serikali katika kuwezesha mazingira rafiki ya ya Kufundishia na Kujifunzia, imejenga shule mpya ya Msingi Losirwa kata ya Kirtalo, Wilaya ya Ngorongoro, kwa lengo la kuhakikisha, wanafunzi wapata elimu karibu na mazingira wanayoishi ili kila mtoto wa kitanzania mwenye umri wa kuanza shule aandikishwe.
Mradi huo wa ujenzi wa shule hiyo mpya yenye mikondo miwili, umegharimu kiasi cha shilingi Milioni 630, fedha kutoka Serikali Kuu kupitia programu ya BOOST.
Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.