Ujenzi wa shule mpya ya sekondari Masusu, umetekelezwa na Serikali kwa gharama ya shilingi milioni 584.2 Fedha kutoka Serikali Kuu kupitia program ya SEQUIP.
Kiasi hicho cha fedha kimehusisha ujenzi wa vyumba 8 vya madarasa na Ofisi mbili, Jengo la Utawala, Maabara za Fizikia, Baiolojia na Kemia, Jengo la TEHAMA, Kichomea taka, tanki la kuhifadhia maji pamoja na vyoo vya wasichana, wavulana na wenye mahitaji maalum.
#MiakamitatuyaKishindo#arushafurasalukuki
Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.