• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Arusha Regional

The United Republic of Tanzania President Office Regional Administration and Local Government Arusha Regional

  • Home
  • About Us
    • History
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa mikoa waliopita-Arusha
    • Dira na dhima
    • The basics
    • Strategies
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Units
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • District
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Councils
    • Arusha CC
    • Arusha DC
    • Meru DC
    • Monduli DC
    • Karatu DC
    • Longido DC
    • Ngorongoro DC
  • Investment Opportunities
    • Tourism
    • Livestock
    • Agricultre
    • Industrial
  • Our Service
    • Health
    • Education
    • Water
    • Land
    • Tourism
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events

MILA NA DESTURI ZINAZOCHOCHEA UKATILI WA KIJINSIA HAZITAKIBALIKA

Posted on: December 10th, 2022

"Serikali haipingi mila na desturi bali haitafumbia macho zile mila na desturi zinazoleta ukatili wa kijinsia kwa wanawake na watoto".

Hayo yamesemwa na Katibu Tawala Mkoa wa Arusha Missaile Musa katika kilele cha siku 16 za maadhimisho ya kupinga ukatili wa kijinsia  kwa wanawake na watoto, Jijini Arusha.

Matukio ya ukatili wa wanawake na watoto bado yapo sana katika Mkoa wa Arusha kwani kwa mwaka 2021/2022 jumla ya matukio 4705 yalilipotiwa na kati yake matukio 4013 yalikuwa ya wanawake na 692 ni wanaume na ndani yake yakiwepo ya watoto.

Katika mwaka 2019 jumla ya matukio 2339 yalilipotiwa ikiwa ni pungufu ya yale ya mwaka 2022 ambayo yalikuwa 4706 na hii imetokana na watu kupata uelewa wa kitoa taarifa juu ya matendo hayo ya ukatili.

" Naziagiza kamati za MTAKUWA kuanzia ngazi ya vijiji hadi halmashauri zifanye kazi  na kila halmashauri ianzishe kituo cha Mkono kwa Mkono kwenye hospitali za Wilaya ili kuhakikisha vitendo vya ukatili vinatokomezwa', alisema.

Kwa upande wake afisa ustawi wa jamii Mkoa wa Arusha, Denis Mgiye amesema vitendo vya ukali vinavyoongoza ni ukatili wa kimwili,kisaikolojia,kingono, mimba na ndoa za utotoni, ukeketaji na kushindwa kutoa malezi kwa watoto.

Hata hivyo, amewahasa wanaume kujitokeza kwa wingi kutoa taarifa za ukatili wa kijinsia kwani wameonekana wapo nyuma wakati vitendo vya ukali wanafanyiwa.

Nae, Afisa ustawi wa jamii kutoka kituo cha Mkono kwa Mkono cha hospitali ya Mt.Meru Daniel Kasikiwe amesema wahanga wengi wamejitokeza kutoa taarifa za ukatili na hiyo imewezekana baada ya elimu kuendelea kuwafikia wananchi.

Aidha, amesema bado kuna changamoto ya wahanga kuchelewa kutoa taarifa ndani ya masaa 72 na hivyo kusababisha kupotea kwa ushahidi na baadhi ya wahanga kutotoa ushahidi pindi kesi inapofika mahakamani.

Maadhimisho ya kupinga ukatili wa kijinsia na watoto yalianza Novemba 27 na yamemalizika Disemba 10 katika Mkoa wa Arusha ambapo utoaji wa elimu ulifanyika katika kila halmashauri kwa kupita kwenye mashule, vyuo na makundi mbalimbali ya wananchi.


Announcements

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • View All

Latest News

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • View All

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
More Videos

Quick Links

  • Guildlines Towards the use of ICT In Government
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Public Servant Portal
  • Takwimu
  • TANAPA

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap
    • FAQ

Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.