Kamishna wa Ardhi Mkoa wa Arusha Geofray Mwansojo akimkabidhi hati miliki ya eneo Arafa Mohamed Muya, mara baada ya kurejeshewa eneo lake lililotaka kudhulumiwa na Bw. Alex Mtinange leo Aprili 25,2024.
Arafa ambaye ni mjane amezunguka kwa takribani miaka 15 kufutilia na kuitafuta haki yake, hatimaye Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Jerry Slaa kupitia Kiliniki ya Ardhi iliyofanyika Jijini Arusha, amefanikisha kurejesha eneo hilo kwa mjane Arafa.
Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.