Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Gerson Msigwa @gersonmsigwa (kushoto) akisaini Mkataba wa ujenzi wa Uwanja wa Mpira wa Miguu wa Jijini Arusha na Mkandarasi CHINA RAILWAY CONSTUCTION ENGINEERING GROUP (CRCEG) atakayejenga Uwanja huo kwa gharama ya shilingi Bilioni 286.
Hafla hiyo imefanyika leo Machi 19, 2024 Jijini Dar es Salaam na kushuhudiwa na Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo, Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro, Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. John Mongela na viongozi wengine wa Wizara hiyo.@damasndumbaro_official mwanafa @nsc_bmt
Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.