• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Arusha Regional

The United Republic of Tanzania President Office Regional Administration and Local Government Arusha Regional

  • Home
  • About Us
    • History
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa mikoa waliopita-Arusha
    • Dira na dhima
    • The basics
    • Strategies
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Units
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • District
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Councils
    • Arusha CC
    • Arusha DC
    • Meru DC
    • Monduli DC
    • Karatu DC
    • Longido DC
    • Ngorongoro DC
  • Investment Opportunities
    • Tourism
    • Livestock
    • Agricultre
    • Industrial
  • Our Service
    • Health
    • Education
    • Water
    • Land
    • Tourism
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events

MKOA WA ARUSHA KUWA MWENYEJI WA MKUTANO MKUBWA WA WAKUU WA MAJESHI WA SADC

Posted on: May 25th, 2025

Mkoa wa Arusha umechaguliwa kuwa mwenyeji wa mkutano wa 33 wa mwaka wa Wakuu wa Majeshi ya Ulinzi wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), Mkutano unaotarajiwa kufanyika tarehe 26 hadi 31 Mei 2025, na utawakutanisha viongozi wa kijeshi kutoka nchi zaidi ya kumi na tano za ukanda wa SADC.


Akizungumza na waandishi wa habari leo Mei 25, 2025 katika ofisi za Mkoa wa Arusha, Mkuu wa Mkoa huo Mhe. Paul Christian Makonda amesema kuwa Arusha imeendelea kuwa kinara wa mikutano ya kitaifa na kimataifa, pamoja na kuwa kitovu cha shughuli za utalii zinazochochea uchumi wa mkoa na taifa kwa ujumla akibainisha kuwa mkutano huo ni fursa nyingine muhimu kwa mkoa kuonyesha uwezo wake katika kutoa huduma bora kwa wageni wa kimataifa.


Mhe. Makonda ameeleza kuwa mafanikio haya yanatokana na juhudi za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, ambaye ameendelea kudumisha amani na utulivu nchini, hali inayowavutia watalii na wawekezaji wengi kufika katika mkoa huo Arusha na kusisitiza kuwa mazingira ya utulivu ndiyo msingi wa maendeleo na kuvutia shughuli kubwa kama hizi za kimataifa.


Aidha, Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania (CDF), Jenerali Jacob Mkunda, ambaye ndiye mwenyekiti wa mkutano huo, ataongoza majadiliano yatakayolenga kuimarisha ushirikiano wa kijeshi na usalama wa kikanda na watapata fursa ya kutembelea vivutio mbalimbali vya utalii katika Mkoa wa Arusha

ambapo watoa huduma katika sekta zote wametakiwa kuonyesha ukarimu na utoaji wa huduma bora ili kuchochea uchumi kupitia fursa zitakazotokana na mkutano huo.


Katika hatua nyingine, Mhe. Makonda amewatoa hofu wananchi kuhusu uwepo wa magari na majeshi katika maeneo mbalimbali ya mkoa huo, akibainisha kuwa hayo ni maandalizi ya kawaida ya kuhakikisha ulinzi na usalama wa mkutano huo muhimu na kutoa rai kwa wananchi kuendelea kushirikiana na vyombo vya usalama kwa utulivu na amani.

Announcements

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO MTIHANI WA UTAMIRIFU (MOCK) 2025 DARASA LA SABA (VII)- MKOA WA ARUSHA June 07, 2025
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • View All

Latest News

  • KARIBU ARUSHA Mhe. KENAN LABAN KIHONGOSI MKUU WA MKOA WA ARUSHA

    June 26, 2025
  • KARIBU ARUSHA Mhe. KENAN LABAN KIHONGOSI MKUU WA MKOA WA ARUSHA

    June 26, 2025
  • SIKU YA KWANZA; WAKAZI WA ARUSHA WAJITOKEZA KWENYE KAMBI YA MADAKTARI BINGWA NA MABINGWA WABOBEZI

    June 23, 2025
  • RC MAKONDA ASHIRIKI MARATHON YA KKKT 2025

    June 21, 2025
  • View All

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
More Videos

Quick Links

  • Guildlines Towards the use of ICT In Government
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Public Servant Portal
  • Takwimu
  • TANAPA

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap
    • FAQ

Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.