• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Arusha Regional

The United Republic of Tanzania President Office Regional Administration and Local Government Arusha Regional

  • Home
  • About Us
    • History
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa mikoa waliopita-Arusha
    • Dira na dhima
    • The basics
    • Strategies
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Units
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • District
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Councils
    • Arusha CC
    • Arusha DC
    • Meru DC
    • Monduli DC
    • Karatu DC
    • Longido DC
    • Ngorongoro DC
  • Investment Opportunities
    • Tourism
    • Livestock
    • Agricultre
    • Industrial
  • Our Service
    • Health
    • Education
    • Water
    • Land
    • Tourism
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events

MKUTANO WA KIKANDA WA MATUMIZI BORA YA NISHATI NI FURSA KWA NCHI YA TANZANIA

Posted on: December 4th, 2024

Na Elinipa Lupembe 



Katibu Mkuu Wizara ya Nishati Mhandisi Felchiesimu Mramba, ameelezwa kuwa, Mkutano wa Kikanda wa Matumizi Bora ya Nishati 2024, unaofanyika kwenye ukumbi wa jengo la PAPU Mkoani kuhaki ni fursa kwa nchi yetu ya Tanzania katika kuhakikisha kunakuwa na matumizi bora ya nishati ambayo yatapelekea kupunguza upotevu wa nishati, kupunguza gharama za matumizi ya nishati, kupunguza hewa ukaa pamoja na kutunza mazingira. 



Mhandisi Mramba, amesema hayo wakati akizungumza muda mfupi kabla ya kumkaribisha Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko @biteko kufungua Mkutano wa  mapema leo Desemba 04, 2024.



Katibu huyo ameeleza lengo la Mkutano huo ni kujenga uelewa wa pamoja na kubadilishana uzoefu katika masuala ya matumizi bora ya Nishati baina ya wadau kutoka Ukanda wa Nchi za Afrika Mashariki na zile  Nchi za Kusini mwa AfAfri (SADC).



Aidha, amebainisha kuwa katika mkutano huo, washiriki watapata wasaa wa kujadili changamoto na fursa mbalimbali za masuala ya matumizi bora ya Nishati pamoja na fursa za matumizi bora ya Nishati kikanda 



"Mkutano huu umelenga pia kutafuta njia bora ya nchi wanachama wa Jumuiya zote mbili kushirikiana kwenye uandaaji wa viwango na miongozo ya pamoja ya matumizi bora ya nishati, jambo ni fursa kwa nchi yetu ya Tanzania kutokana na umuhimu wake". Amefafanua Mhandisi Mramba.



Awali Kauli Mbiu ya Mkutano ni “Kuchagiza Matumizi Bora ya Nishati kwa Maendeleo Endelevu”.


Announcements

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • View All

Latest News

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • View All

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
More Videos

Quick Links

  • Guildlines Towards the use of ICT In Government
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Public Servant Portal
  • Takwimu
  • TANAPA

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap
    • FAQ

Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.