Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. John V.K Mongella akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia Mhe. HaileMariam Dessalegn nje ya Hoteli ya Lake Duluti, wilaya ya Arumeru, leo tarehe 11 Januari, 2024
Mhe. Dessalegn yuko nchini kwa ajili ya kuangalia fursa za uwekezaji katika kilimo cha maua, ambapo anatembelea mashamba makubwa ya maua Wilaya Arumeru Mkoa wa Arusha.
Hata hivyo Mhe.Mongella amemkaribisha Waziri Mkuu huyo mstaafu nchini Tznzania, hususani mkoa wa Arusha, na kumuhakikisha hali ya usalama wa mkoa huo,unaokwenda sambamba na hali ya hewa nzuri pamoja na vivutio vya Utalii zilizosheheni mkoani Arusha.
#ArushaFursaLukuki
Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.