Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo akiongozana na viongozi wa Wilaya ya Longido pamoja na wataalamu toka mamlaka ya maji safi na maji taka (AUWSA) wakikagua maendeleo ya mradi wa maji katika chanzo cha Mto Simba wilayani Siha,Mkoa wa Kilimanjaro,mradi huu unategemewa kupunguza tatizo la Maji wilayani Longido.
Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.