• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Arusha Regional

The United Republic of Tanzania President Office Regional Administration and Local Government Arusha Regional

  • Home
  • About Us
    • History
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa mikoa waliopita-Arusha
    • Dira na dhima
    • The basics
    • Strategies
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Units
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • District
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Councils
    • Arusha CC
    • Arusha DC
    • Meru DC
    • Monduli DC
    • Karatu DC
    • Longido DC
    • Ngorongoro DC
  • Investment Opportunities
    • Tourism
    • Livestock
    • Agricultre
    • Industrial
  • Our Service
    • Health
    • Education
    • Water
    • Land
    • Tourism
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events

MWENYEKITI UVCCM AMTAJA RC MAKONDA KAMA MFANO WA KUIGWA, "ANAWAZA TOFAUTI NA WENGINE"

Posted on: December 28th, 2024

Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi nchini Tanzania UVCCM na Mjumbe wa Kamati kuu ya CCM Taifa, Mohammed Kawaida Comrade Mohammed Kawaida  amefika Ofisini kwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda Rc Mkoa Arusha  na kumpongeza kwa kazi nzuri katika kuwatumikia wananchi wa Arusha, akimtaja kama miongoni mwa Viongozi wachache wenye maono, ubunifu na wenye kuwaza mbali kwa maslahi ya wananchi wanaowahudumia.



Akitaja baadhi ya matukio yaliyofungua fursa kwa Vijana, Kawaida ameitaja tamasha la Land Rover Festival, Usiku wa Wakuu na wakurugenzi wa Taasisi na mashirika ya Umma pamoja na maadhimisho ya miaka 25 ya Jumuiya ya Afrika Mashariki, pamoja na ukuzaji wa sekta ya Utalii Mkoani Arusha, akisema matukio hayo yamechangia pakubwa kwenye kutoa fursa kwa wajasiriamali na wafanyabiashara wengi.



"Ukiwa nje huko unaweza kuona kama Mhe. Makonda anacheza, anafanya sherehe na matukio tu, kuwa hakuna anachokifanya lakini ukiliangalia hili kwa kina unaona namna ambavyo uchumi wa Mkoa unapanda, uchumi wa mtu mmoja mmoja unapanda lakini hata Pato la serikali linapanda." Amesema Ndugu Kawaida.



Kwa upande wake Mhe. Makonda amemualika Ndugu Kawaida kwenye sherehe za funga mwaka Jijini Arusha, kuanzia Kesho Disemba 28, 2024 wakati ambapo kutakuwa na tukio la Sanaa ya majukwaani ya The Churchil kwenye ukumbi wa AICC na baadae kufuatiwa na Tamasha la Funga mwaka litakalofanyika kwa siku tatu kuanzia Disemba 29-31 mwaka huu kwenye mitaa mitatu ya katikati ya Jiji la Arusha



Announcements

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • View All

Latest News

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • View All

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
More Videos

Quick Links

  • Guildlines Towards the use of ICT In Government
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Public Servant Portal
  • Takwimu
  • TANAPA

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap
    • FAQ

Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.