• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Arusha Regional

The United Republic of Tanzania President Office Regional Administration and Local Government Arusha Regional

  • Home
  • About Us
    • History
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa mikoa waliopita-Arusha
    • Dira na dhima
    • The basics
    • Strategies
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Units
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • District
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Councils
    • Arusha CC
    • Arusha DC
    • Meru DC
    • Monduli DC
    • Karatu DC
    • Longido DC
    • Ngorongoro DC
  • Investment Opportunities
    • Tourism
    • Livestock
    • Agricultre
    • Industrial
  • Our Service
    • Health
    • Education
    • Water
    • Land
    • Tourism
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events

NAIBU WAZIRI MKUU AHIMIZA VIONGOZI KUWAHUDUMIA WANANCHI KIKAMILIFU.

Posted on: December 17th, 2024

Elinipa Lupembe 



Naibu Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Mashaka Doto Biteko , amewahimiza viongozi na watumishi wa Umma waliopewa dhamana na Serikali kuwahudumia wananchi kikamilifu huku akisisitiza kuwa uhalali wa Serikali yoyote ya kidemokrasia duniani imelenga  katika misingi ya kuwatumikia wananchi na si vinginevyo.



Dkt. Biteko ametoa rai hiyo, wakati akifungua Kongamano la 15 la Watalaamu wa Ununuzi na Ugavi, linalofanyika Jijini Arusha kwenye kituo cha Kimataifa cha Mataifa Arusha, mara baada ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe.Paul Christian Makonda, kuwasifu wakazi wa Kata ya Muriet Jijini Arusha, walioamua kumburuza Diwani wao kwenye Matope  kama sehemu ya kuonesha hisia zao za kukerwa na ubovu wa barabara nyingi za Kata hiyo na hivyo kusababisha adha nyakati za misimu ya mvua kwa muda mrefu sasa.



"Huwa ninashangwazwa kiongozi kusimama kwenye msiba na kujitambulisha yeye ni kiongozi wao, wakati wananchi wanakabiliwa na kero na changamoto nyingi za kijamii katika eneo lao, viongozi tunatakiwa kujitathmini na kuitambua dhamana tuliyopewa ya kuwahudumia wananchi katika maeneo yenu kama mlivyowaomba kuwachangua" Amesisitiza Dkt. Biteko.


Announcements

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • View All

Latest News

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • View All

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
More Videos

Quick Links

  • Guildlines Towards the use of ICT In Government
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Public Servant Portal
  • Takwimu
  • TANAPA

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap
    • FAQ

Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.