Mhe.Deus Sangu Naibu Waziri ofisi ya Rais Menejimenti ya utumishi wa umma na utawala bora amewasili Mkoa Arusha kwajili ya kusimamia zoezi la Usaili wa nafasi za ajira kada ya afya.
Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.