• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Arusha Regional

The United Republic of Tanzania President Office Regional Administration and Local Government Arusha Regional

  • Home
  • About Us
    • History
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa mikoa waliopita-Arusha
    • Dira na dhima
    • The basics
    • Strategies
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Units
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • District
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Councils
    • Arusha CC
    • Arusha DC
    • Meru DC
    • Monduli DC
    • Karatu DC
    • Longido DC
    • Ngorongoro DC
  • Investment Opportunities
    • Tourism
    • Livestock
    • Agricultre
    • Industrial
  • Our Service
    • Health
    • Education
    • Water
    • Land
    • Tourism
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events

*NCAA YAPOKEA GARI YA KUTATUA MIGOGORO KATI YA BINADAMU NA WANYAMAPORI.*

Posted on: March 9th, 2024


Ngorongoro Kreta, Arusha.


Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongro (NCAA) imepokea gari aina ya Suzuki Jimny kutoka shirika lisilo la kiserikali la Elephant Protection Initiative (EPI) ya nchini Uingereza kupitia mbia wake Kampuni ya ulinzi ya GardaWorld Tanzania kwa lengo la kusaidia kupunguza Migogoro kati ya wanyamapori na wananchi.


 Akipokea gari hiyo kwa niaba ya Kamishna wa Uhifadhi NCAA, kaimu meneja wa huduma za Ulinzi NCAA SCO Donatus Gadiye ameeleza kuwa gari hiyo imetolewa kwa ajili kuimarisha ulinzi na kupunguza migogoro kati ya wanyamapori na wananchi wanaozunguka hifadhi ya Ngorongoro hasa kwa wanyama wakali kama tembo kuvamia mashamba ya wananchi.


"Gari hili linabeba askari wanne kwa pamoja na lina uwezo wa kupita kwenye matope na barabara ngumu ikiwemo zinazotenganisha mpaka wa hifadhi na mashamba ya wananchi na kusaidia kutatua changamoto hizo kwa haraka" ameeleza Gadiye.


Gadiye ameongeza kuwa askari wa jeshi la Uhifadhi  watakaotumia gari hilo watakuwa na uwezo wa haraka kusoma  tabia za tembo hasa wanaoingia maeneo ya wananchi na kubuni njia za kupambana nao kwa haraka.


Mkurugenzi wa GardWorld tawi la Tanzania Tommy Bright  ameeleza kuwa taasisi yao imekuwa ikisaidia miradi mbalimbali inayolenga ulinzi wa Wanyamapori kwa ajili ya kupunguza migogoro kati ya Wanyamapori na binadamu na kuangalia njia mbalimbali za kisasa katika kupambana na hali hiyo.


Announcements

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • View All

Latest News

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • View All

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
More Videos

Quick Links

  • Guildlines Towards the use of ICT In Government
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Public Servant Portal
  • Takwimu
  • TANAPA

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap
    • FAQ

Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.