• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Arusha Regional

The United Republic of Tanzania President Office Regional Administration and Local Government Arusha Regional

  • Home
  • About Us
    • History
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa mikoa waliopita-Arusha
    • Dira na dhima
    • The basics
    • Strategies
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Units
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • District
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Councils
    • Arusha CC
    • Arusha DC
    • Meru DC
    • Monduli DC
    • Karatu DC
    • Longido DC
    • Ngorongoro DC
  • Investment Opportunities
    • Tourism
    • Livestock
    • Agricultre
    • Industrial
  • Our Service
    • Health
    • Education
    • Water
    • Land
    • Tourism
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events

NCHI ZA AFRIKA ZATAKIWA KUHESHIMU UTAWALA WA SHERIA NA KUZINGATIA UTAWALA BORA

Posted on: October 20th, 2023


Na Prisca Libaga Arusha


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Husein Mwinyi amezitaka nchi za Afrika kuheshimu utawala wa sheria na Utawala Bora ili kusaidia kulinda na kuimarisha haki za binadamu.


Ameyasema hayo wakati akifungua kikao cha 77 cha Tume ya Afrika ya haki za binadamu na watu Jijini Arusha ambapo amesisitiza nchi hizo kuendelea kuimarisha haki za binadamu na watu katika bara la Afrika.


Amesema ni Imani yake taarifa zitatoa tathmini ya hali halisi ya haki za binadamu na kutoa mapendekezo yatakayosaidia kupata mbinu za kukabiliana na changamoto zitakazoainishwa katika Mkutano huu.


Aidha naamini kwamba washiriki watapata fursa ya kutoa maoni na mapendekezo yao kuhusiana na masuala yatakayojitokeza katika taarifa zitakazo wasilishwa ambapo kikao hichi kitatanguliwa na majukwaa ya Taasisi za haki za binadamu zipatazo 46 na asasi za kiraia takribani 210 kutoka bara la Afrika.


"Tanzania inatekeleza na kusimamia haki za binadamu kwa Mujibu wa sheria, kanuni na taratibu zilizopo ambapo haki za binadamu zimeanishwa kuanzia ibara ya 12 hadi 14 lakini pia Katiba yetu kuanzia ibara 25 hadi 30 imeainisha wajibu wa kila raia katika kuhakikisha tunalinda haki za binadamu na watu ndio maana tumeanzisha Tume ya haki za binadamu na Utawala Bora kwa lengo la kutetea kulinda na kuhifadhi haki za binadamu"


Vilivile hapa nchi serikali imechukuwa hatua kuhakikisha haki za binadamu zinalindwa na kutekeleza kwa mujibu wa mikataba ambayo Tanzania ni mwanachama kwa kiasi kikubwa jitihada zimeboreshwa ambapo Hali ya upatikanaji wa haki mbalimbali ikiwemo haki usawa  mbele ya sheria Afya Elimu maji na Mazingira safi ,uhuru wa maoni, uhuru wa kuabudu  ajira.


Hata hivyo kwa taarifa ni kwamba kutokana na uhuru huo hivi sasa Tanzania ina vyombo vya habari vingi vikiwemo redio 210 Television 56 na magazeti 288 pamoja na mitandao mbalimbali ya kijamii.


Kwa mujibu wa Dkt.Mwinyi pia Tanzania imepiga hatua kubwa ya kuimarika kwa uhuru wa kidemokrasia, haki za wanawake Watoto na watu wenye ulemavu kwa kuzingatia usawa wa kijinsia.


Mwisho.

Announcements

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • View All

Latest News

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • View All

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
More Videos

Quick Links

  • Guildlines Towards the use of ICT In Government
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Public Servant Portal
  • Takwimu
  • TANAPA

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap
    • FAQ

Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.