• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Arusha Regional

The United Republic of Tanzania President Office Regional Administration and Local Government Arusha Regional

  • Home
  • About Us
    • History
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa mikoa waliopita-Arusha
    • Dira na dhima
    • The basics
    • Strategies
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Units
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • District
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Councils
    • Arusha CC
    • Arusha DC
    • Meru DC
    • Monduli DC
    • Karatu DC
    • Longido DC
    • Ngorongoro DC
  • Investment Opportunities
    • Tourism
    • Livestock
    • Agricultre
    • Industrial
  • Our Service
    • Health
    • Education
    • Water
    • Land
    • Tourism
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events

NDOTO YA RAIS SAMIA KWA ARUSHA: KUITUMIA FURSA YA UTALII KUINUA UCHUMI WA MKOA

Posted on: June 14th, 2025

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. Paul Christian Makonda, amesema kuwa ndoto ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa Mkoa wa Arusha ni kuona mkoa huo unakuwa kitovu cha utalii na uchumi kwa kutumia rasilimali zilizopo, hasa kupitia sekta ya utalii.



Akizungumza wakati wa kikao na viongozi wa mashirika ya reli na bandari waliotembelea Mkoa huo, Mhe. Makonda ameeleza kuwa Rais Samia amedhamiria kwa vitendo kuleta maendeleo Arusha, jambo linalodhihirika kupitia miradi mikubwa inayoendelea kwa sasa, ikiwemo ujenzi wa uwanja wa kisasa na ukumbi mkubwa wa mikutano.



Aidha, Mhe. Makonda amemshukuru Rais Samia kwa kuwatuma viongozi wa Shirika la Reli na Mamlaka ya Bandari kuzungumza na wananchi wa Arusha kuhusu maendeleo yanayokuja mkoani humo.



Kwa upande wake, Mwenyekiti wa bodi ya Shirika la Reli Tanzania  Ally Karavina ameeleza kuwa wameona umuhimu wa kukagua reli ya kutoka Arusha hadi Dar es Salaam, na kufikiria namna ya kuunganisha njia hiyo hadi Tanga na tayari wamepata mradi wa ukarabati wa reli hiyo ili kuongeza kasi ya usafiri wa treni kufikia wastani wa kilomita 70 kwa saa.



“Yanayokuja Arusha yanaridhisha. Mpango wa ujenzi wa reli ya kisasa ya SGR bado upo kama ilivyoainishwa kwenye Ilani ya Chama cha Mapinduzi na reli hiyo itarahisisha usafirishaji wa magadi soda kutoka Engaruka hadi kufika Musoma,” amesisitiza Karavina.



Sambamba na hayo, Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya usimamizi wa Bandari (TPA) Plusduce Mbosaa ametoa wito kwa wafanyabiashara na wananchi kwa ujumla, kuchangamkia fursa ya ujenzi wa Bandari Kavu jijini Arusha na kuongeza kuwa wako tayari kutoa vibali kwa mtu au taasisi yoyote yenye nia ya kuwekeza kwenye mradi huo.



Aidha, mizigo yote itakayopokelewa kupitia bandari ya Arusha itapitia katika bandari kavu hiyo, hatua itakayorahisisha shughuli za usafirishaji na kuongeza ufanisi katika biashara.


Announcements

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO MTIHANI WA UTAMIRIFU (MOCK) 2025 DARASA LA SABA (VII)- MKOA WA ARUSHA June 07, 2025
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • View All

Latest News

  • KARIBU ARUSHA Mhe. KENAN LABAN KIHONGOSI MKUU WA MKOA WA ARUSHA

    June 26, 2025
  • KARIBU ARUSHA Mhe. KENAN LABAN KIHONGOSI MKUU WA MKOA WA ARUSHA

    June 26, 2025
  • SIKU YA KWANZA; WAKAZI WA ARUSHA WAJITOKEZA KWENYE KAMBI YA MADAKTARI BINGWA NA MABINGWA WABOBEZI

    June 23, 2025
  • RC MAKONDA ASHIRIKI MARATHON YA KKKT 2025

    June 21, 2025
  • View All

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
More Videos

Quick Links

  • Guildlines Towards the use of ICT In Government
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Public Servant Portal
  • Takwimu
  • TANAPA

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap
    • FAQ

Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.