• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Arusha Regional

The United Republic of Tanzania President Office Regional Administration and Local Government Arusha Regional

  • Home
  • About Us
    • History
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa mikoa waliopita-Arusha
    • Dira na dhima
    • The basics
    • Strategies
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Units
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • District
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Councils
    • Arusha CC
    • Arusha DC
    • Meru DC
    • Monduli DC
    • Karatu DC
    • Longido DC
    • Ngorongoro DC
  • Investment Opportunities
    • Tourism
    • Livestock
    • Agricultre
    • Industrial
  • Our Service
    • Health
    • Education
    • Water
    • Land
    • Tourism
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events

NENDENI MKAWE WAZALENDO,WAADILIFU NA MFANYEKAZI KWA WEREDI-RC MONGELLA

Posted on: July 26th, 2022

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. John Mongella amewataka wakufunzi wa sensa kuwa wazalendo, waadilifu na kufanya kazi kwa weredi katika zoezi la kutoa mafunzo ya sensa.

Ameyasema hayo alipokuwa akifunga mafunzo ya wakufunzi wa sensa kwa Mkoa wa Arusha yaliyofanyika Jijini Arusha.

Zoezi la sensa ni muhimu kwani litasaidia kupata taarifa ya msingi kwa maendeleo ya Taifa.

Aidha, Mhe.Mongella amesisitiza kuwa mipango makini inaendana na idadi ya watu.

Pia, zoezi hili litaenda kutengeneza msingi na mstakabali wa maendeleo ya  Mkoa na nchi kwa ujumla.

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Arusha bwana Zelothe Steven, amewahasa wakufunzi hao kuwa wamebeba dhamana ya Mkoa hivyo wakaufanye Mkoa kuwa kinara.

Nae, Kaimu Katibu Tawala Mkoa wa Arusha bwana Said Mabie amesema changamoto kubwa ya watu wa mipango ni kutokuwa na data safi zitakazowasaidia kuweka mipango sahihi kulingana na mahitaji.

Hivyo kupitia sensa ya mwaka huu idara ya mipango itaweza kuweka mipango inayotekelezeka zaidi.

Akielezea hali ya mafunzo hayo  Mkufunzi Mkuu wa mafunzo hayo bwana Mdoka Omary amesema kwa Mkoa wa Arusha jumla ya wakufunzi 399 wamepatiwa mafunzo ya sensa kwa ajili ya kufundisha makalani wa sensa katika kila halmashauri.

Amesema pia, mafunzo hayo yamefanyika takribani kwa wiki 3 ikijumuisha watumishi kutoka ngazi ya halmshauri na Mkoa, watu wenye ulemavu na taasisi binafsi za Mkoa wa Arusha.

Announcements

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • View All

Latest News

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • View All

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
More Videos

Quick Links

  • Guildlines Towards the use of ICT In Government
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Public Servant Portal
  • Takwimu
  • TANAPA

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap
    • FAQ

Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.