Kongamano la tatu la Madereva wa Serikali Tanzania (CMST) lafana jumla ya madereva 1,300 kutoka Tanzania Bara na Visiwani wakutana na kufanya mkutano wa mwaka 2024, kwenye kituo cha Mikutano Arusha - AICC, mkoani Arusha.Kongamano hilo limefunguliwa na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa @kassim_m_majaliwa Agosti 20,2024.
Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.