Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan akifungua jukwaa la Demokrasia Afrika, Jijini Arusha.
Jukwaa hilo lililohudhuriwa na viongozi wastaafu kutoka nchi takribani 45 za Afrika.
Ikiwa lengo kubwa la jukwaa hilo nikujadili namna nchi za Afrika zinaweza kutatua changamoto zake zenyewe kutokana na uzoefu walioupata viongozi hao wastaafu katika nchi zao.
Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.