Waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Liberata Rutageruka Mulamula akimpokea Mwenyekiti wa Wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki na Rais wa Jamhuri ya Kenya Mhe. Uhuru Kenyata alipowasili Mkoani Arusha kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa 22 wa wakuu wa Jumuiya hiyo unao tarajiwa kufanyika Julai 22,2022.
Pia, Mhe. Kenyata anatarajiwa kuwaongoza viongozi wakuu wengine 6 katika uzinduzi wa Barabara ya Afrika Mashariki (By Pass) katika eneo la TPRI Mlinga Estate.
Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.