• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Arusha Regional

The United Republic of Tanzania President Office Regional Administration and Local Government Arusha Regional

  • Home
  • About Us
    • History
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa mikoa waliopita-Arusha
    • Dira na dhima
    • The basics
    • Strategies
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Units
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • District
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Councils
    • Arusha CC
    • Arusha DC
    • Meru DC
    • Monduli DC
    • Karatu DC
    • Longido DC
    • Ngorongoro DC
  • Investment Opportunities
    • Tourism
    • Livestock
    • Agricultre
    • Industrial
  • Our Service
    • Health
    • Education
    • Water
    • Land
    • Tourism
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events

RAIS SAMIA ATOA MILIONI 20 KWA BABA ASKOFU MASSANGWA KWA KUWA KINARA WA AMANI YA ARUSHA.

Posted on: September 29th, 2024


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Jumapili Septemba 29, 2024, ametoa jumla ya Shilingi Milioni 20 kwa Baba Askofu  wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania KKKT Dayosisi ya Kaskazini Kati, ambaye amestaafishwa rasmi hii leo kwa heshima na kanisa hilo mara baada ya kumaliza muda wake wa utumishi wa miaka zaidi ya 42 ndani ya Kanisa hilo.



Kwa niaba ya Rais Samia Suluhu Hassan, Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda aliyehudhuria ibada hiyo iliyofanyika Kwenye Kanisa la KKKT Usharika wa Kimandolu Jijini Arusha, Mhe. Makonda amemtaja Baba Askofu Dkt. Solomon Massangwa kama miongoni mwa nguzo muhimu zilizosaidia katika ukuzaji na utunzaji wa amani ya Mkoa wa Arusha.



"Baba Askofu Massangwa ni miongoni mwa Maaskofu waliojenga Amani, umoja na mshikamano katika Mkoa wetu wa Arusha, Hata kwenye nyakati ngumu ambazo serikali zilipita, Baba Askofu alibaki kuwa na utiifu na uaminifu ya kwamba Mungu atafanya. Alama zako tutazitunza nami nitakuwa sehemu ya kuhakikisha kwamba kila pando jema ulilopanda linaendelea kukua na kuendelea kuwa na matunda mema kwaajili ya mkoa wetu." Amesema Mhe. Makonda.



Aidha Mhe. Makonda katika salamu zake kwa waumini wa kanisa hilo amewakumbusha na kuwasisitiza waumini wa dini ya Kikristo umuhimu wa kuwatunza na kuwalea Viongozi wastaafu wa Kanisa hilo akisema ipo tabia ambayo ni chukizo kwa Mwenyenzi Mungu ya Makanisa na waumini wa dini hiyo kuwasahau Viongozi wao Pindi wanapostaafu.


Announcements

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • View All

Latest News

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • View All

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
More Videos

Quick Links

  • Guildlines Towards the use of ICT In Government
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Public Servant Portal
  • Takwimu
  • TANAPA

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap
    • FAQ

Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.