• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Arusha Regional

The United Republic of Tanzania President Office Regional Administration and Local Government Arusha Regional

  • Home
  • About Us
    • History
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa mikoa waliopita-Arusha
    • Dira na dhima
    • The basics
    • Strategies
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Units
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • District
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Councils
    • Arusha CC
    • Arusha DC
    • Meru DC
    • Monduli DC
    • Karatu DC
    • Longido DC
    • Ngorongoro DC
  • Investment Opportunities
    • Tourism
    • Livestock
    • Agricultre
    • Industrial
  • Our Service
    • Health
    • Education
    • Water
    • Land
    • Tourism
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events

RAIS SAMIA ATUMA DAWA NYINGINE ARUSHA NA KUTOA MATIBABU BURE MUHIMBILI NA JKCI...

Posted on: June 27th, 2024



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan anaendelea kudhihirisha mapenzi yake kwa wakazi wa Arusha mara baada ya kuagiza dawa nyingine za binadamu kwaajili ya Kliniki ya Matibabu inayoratibiwa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda @baba_keagan

Akizungumza na  wananchi waliojitokeza siku ya nne ya kambi ya Matibabu wa Madaktari Bingwa na Mabingwa Wabobezi Arusha, inayoendelea kwenye Uwanja wa Kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid mapema leo, Juni 27, 2024, Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda amesema kuwa, Mhe.Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan ameendelea kudhihirisha mapenzi yake kwa wananchi wa Arusha, hasa wale hali ya chini wanaoshindwa kumudu gharama za matibabu, ameagiza dawa nyingine kwa ajili ya wagonjwa watakaohudhuria kiliniki hii.

Mhe. Makonda ameelezea kuwa, jumla ya watoto 10 wamebainika kuwa na matatizo kwenye mfumo wa uzazi, ambapo Hospitali ya Taifa Muhimbili imejitolea kuwafanyia upasuaji wa bure ili kurejesha mifumo yao ya uzazi (Korodani) katika hali yake ya kawaida.

Hata hivyo, Mhe. Makonda amewashukuru wadau wote,  wanaoendelea kujitolea vitenganishi na vifaa mbalimbali vya matibabu akiwemo Mtumishi wa Mungu Mtume Boniface Mwamposa wa Kanisa la Arise and Shine (Inuka Uangaze) aliyejitolea vitimwendo 15, kwaajili ya kuwasaidia Wazee na watu wenye ulemavu wa miguu akisema malengo ya kambi hiyo ni kuwa na viti 1000.



Announcements

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • View All

Latest News

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • View All

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
More Videos

Quick Links

  • Guildlines Towards the use of ICT In Government
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Public Servant Portal
  • Takwimu
  • TANAPA

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap
    • FAQ

Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.