Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan awasili Jijini Arusha kwa ajili ya ziara ya kikazi ya siku 3.
Ambapo tarehe 22/11/2021 atahudhuria shughuli za kijeshi katika chuo cha mafunzo ya kijeshi-Monduli na kisha atafungua Hoteli ya nyota 5 ya Grand Melia.
Pia, tarehe 23/11/2021 atakuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya wiki ya nenda kwa usalama barabarani katika Viwanja vya Sheikh Amri Abeid.
Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.