Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mhe Dkt.Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) na kupokelewa na Viongozi mbalimbali wakiongozwa na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Technolojia ya Habari,Mhe.Nape Nnauye
Rais Dkt.Samia kesho tarehe 02 /09/2023 anatarajiwa kuwaongoza Viongozi mbalimbali toka Mataifa ya Afrika ambao ni Wanachama wa Umoja wa Posta Afrika katika ufunguzi wa Jengo la Makao Makuu ya Umoja huo yaliyopo Jijini Arusha.
Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.