Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na viongozi wengine mbalimbali wakikata utepe kama ishara ya kuzindua rasmi Hospitali ya Jiji la Arusha.
Hospitali iliyogharimu fedha shilingi Bilioni 2.5 ikiwa ni mapato ya ndani ya Halmashauri ya Jiji la Arusha.
Kutokana na juhudi hizo zilizofanywa na Jiji la Arusha, Rais Samia Suluhu Hassan ameelekeza ofisi ya Rais TAMISEMI kuchangia fedha Bilioni 1 ili zikasadie kuendeleza ujenzi wa Hospitali hiyo.
Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.