Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akitunukiwa Shahada ya Udaktari wa Heshima katika Uongozi ya Chuo Kikuu Mzumbe na Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt. Ali Mohamed Shein kwenye Mahafali ya 23 ya Chuo Kikuu Mzumbe Mkoani Morogoro yaliyofanyika katika eneo la Maekani, Kampasi Kuu Morogoro tarehe 24 Novemba, 2024. Shahada hiyo ni ya kwanza katika ngazi hiyo ya Uongozi kutolewa na Chuo hicho tangu kuanzishwa kwake
Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.