Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe Dkt. Hussen Ali Mwinyi, amewasili mkoani Arusha na ameondoka mkoani Arusha na kusindikizwa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda, Viongozi wa Chama na Kamati ya Usalama Mkoa kwenye Kiwanja cha Ndege cha Arusha, jioni ya leo Mei 17, 2024.
Rais Mwinyi alikuwa mkoani Arusha kwa ajili ya kufungua Semina ya WanaHisa wa Benki ya CRDB Tanzania, inayotarajiwa kufanyika kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano Arusha (AICC) Jijini Arusha.
Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.