Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni, amewasili nchini Tanzania na kupokelewa na Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe, kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro (KIA), asubuhi ya leo 24.11.2023.
Rais Museveni amewasili nchini, kwa ajili ya kushiriki, Mkutano Mkuu wa Mwaka, unaohusisha Wakuu wa nchi za Jumuia ya Afrika Mashariki ( 23rd Ordinary Summit of East Africa Community Head of States), unaojadili kuhusu masuala ya Tabia Nchi na Usalama wa Chakula, kwenye Hoteli ya Ngurdoto Mountain Lorge, wilayani Arumeru,
#arushafursalukuki
Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.