Akizungumza baada kukabidhiwa hati hiyo Dkt.Kihamia amesema Serikali imeipokea na itaihifadhi hadi hapo maelekezo mengine yatakapotolewa na Serikali.
Aidha, ameishukuru TASO kwa ushirikiano walioutoa katika mchakato wote hadi kufikia makabidhiano hayo.
Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.