• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Arusha Regional

The United Republic of Tanzania President Office Regional Administration and Local Government Arusha Regional

  • Home
  • About Us
    • History
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa mikoa waliopita-Arusha
    • Dira na dhima
    • The basics
    • Strategies
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Units
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • District
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Councils
    • Arusha CC
    • Arusha DC
    • Meru DC
    • Monduli DC
    • Karatu DC
    • Longido DC
    • Ngorongoro DC
  • Investment Opportunities
    • Tourism
    • Livestock
    • Agricultre
    • Industrial
  • Our Service
    • Health
    • Education
    • Water
    • Land
    • Tourism
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events

RC ARUSHA AAGIZA KUKAMILISHA UJENZI WA BWALO SHULE YA MSINGI GWANO IFIKAPO DESEMBA 01.2023....

Posted on: October 24th, 2023

Na Elinipa Lupembe


Mkuu wa mkoa wa Arusha Mhe, John V. K. Mongella ameuagiza uongozi wa wilaya Karatu kupitia Mkurugenzi halmashauri ya Karatu kuhakikisha wanakamilisha mradi wa ujenzi wa Bwala la chakula liliojengwa kwa gharama ya shilingi milioni 50 fedha kutoka serikali Kuu tangu mwaka 2017.


Mhe. Mongella amemuagiza Mkurugenzi huyo, kutoa fedha za mapato ya ndani ,kukamilisha bwalo hilo la chakula lilojengwa kwa ajili ya wanafunzi wenye Mahitaji Maalum, mradi ambao umekaa kwa muda mrefu sasa bila kukamilia huku watoto wakihitaji kuhudumiwa kupitia Bwalo hilo.


"Ninakuagiza DC na mkurugenzi kutoa fedha kukamilisha jengo hilo na terehe 01.12.2023 nitakuja kufungua, serikali ilishatoa fedha wekeni kipaumbele kwa wanafunzi wenye mahitaji maalum, Serikali ya awamu ya sita chini ya Mama yetu mama Samia  anawajali watoto wenye mahitaji maalum, kamilisheni mradi huu kwa haraka" Amesistiza Mhe. Mongella


Hata hivyo ameutaka uongozi wa halmashauri kuhakikisha wanakamilisha miradi yote kwa wakati na viwango vya ubora vinavyoendana na thamani ya fedha, miradi ambayo inayoletewa fedha na Serikali Kuu na kukemea tabia ya kutokukamilisha mradi huku fedha zikiwa zimekwisha, amesisistiza kuwa kila fedha za mradi zinakuja zikiwa na maelekezo ya kukamilisha mradi husika.


Awali amesisitiza kuweka vitanda kwenye Bweni la shule hilo ambalo tayari miundombinu yake imekamilika ili siku ya uzinduzi majengo yote yaanze kutumika na wanafunzi hao wenye mahitaji Maalum.


#ArushaFursaLukuki

#KaziInaendelea

Announcements

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • View All

Latest News

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • View All

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
More Videos

Quick Links

  • Guildlines Towards the use of ICT In Government
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Public Servant Portal
  • Takwimu
  • TANAPA

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap
    • FAQ

Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.