Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Arusha na Mkuu wa Kilimanjaro Mhe. Nurdin Babu ametembelea na kukagua maendeleo ya maandalizi ya Maonesho ya NaneNane na Sherehe za Wakulima Kanda ya Kaskazini, yanayofanyika kwenye viwanja vya NaneNane Njiro Jijini Arusha mapema leo Agosti 01, 2024.
Mhe. Babu akiwa kwenye Banda la mbegu Seedco amejionea namna maandalizi ya mbegu bora yanavyoweza kuzalisha mazao mengi zaidi.
Kauli mbiu:"Chagua Viongozi Bora wa Serikali za Mitaa kwa Maendeleo Endelevu ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi"
Nyote mnakaribishwa
Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.