• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Arusha Regional

The United Republic of Tanzania President Office Regional Administration and Local Government Arusha Regional

  • Home
  • About Us
    • History
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa mikoa waliopita-Arusha
    • Dira na dhima
    • The basics
    • Strategies
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Units
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • District
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Councils
    • Arusha CC
    • Arusha DC
    • Meru DC
    • Monduli DC
    • Karatu DC
    • Longido DC
    • Ngorongoro DC
  • Investment Opportunities
    • Tourism
    • Livestock
    • Agricultre
    • Industrial
  • Our Service
    • Health
    • Education
    • Water
    • Land
    • Tourism
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events

RC MAKONDA AITA VIJANA 1,000 KWENYE USAHILI, UFADHILI KAMILI WA MASOMO NCHINI INDIA.

Posted on: March 24th, 2025


Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda ametangaza leo Jumatatu Machi 24, 2025 kuwa Jumatano ya wiki hii Machi 26, 2025 Mkoa huo utafanya usahili wa kuwapata Vijana 1,000 watakaojiunga na ufadhili wa masomo ya kozi na programu mbalimbali nchini India.



Jijini Arusha leo kwenye kituo cha kimataifa cha mikutano AICC wakati wa  Kongamano la Kumpongeza Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutimiza miaka minne ya Uongozi wake, Mhe. Makonda amebainisha kuwa fursa hizo za masomo zitahusisha programu na fani zaidi ya 220, zikitolewa kwa wananchi wa Arusha pekee na kusimamiwa na serikali ya India kupitia kwa Balozi wake Mhe. Bishwadip Dey, anayeiwakilisha India nchini Tanzania.



"Kama unahangaika na ajira na unaona muda wa ajira unakuchelewesha njoo uongeze elimu na kama unaona ukiongeza elimu unachelewa kupata kazi nenda VETA." Amesema Mhe. Makonda.



Mahusiano ya India na Mkoa wa Arusha yemeendelea kuimarishwa na kukuzwa kupitia fursa mbalimbali za kiuchumi, kijamii na kielimu ambapo India pia kwa kushirikiana na Serikali ya Mkoa wa Arusha Mwezi Mei mwaka huu inaandaa Kongamano kubwa la utoaji wa elimu kwa vijana wa Arusha kuhusu Akili mnemba (Artificial Inteligence), wawezeshaji wakiwa ni Maprofesa kutoka nchini Marekani na India.



Arusha pia inashirikiana na Serikali ya India katika kutimiza dhamira ya Rais Samia ya kukuza utalii na kuvutia raia wa kigeni kuitembelea Arusha, ambapo Serikali ya India imetoa ufadhili wa kozi ya Upishi kwa Wajasiriamali 50 watakaoenda nchini India kujifunza mapishi ya vyakula vya India pamoja na tamaduni zao mbalimbali ili kuja kuwahudumia raia wa Taifa hilo wanaokuja kutalii nchini Tanzania.


Announcements

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • View All

Latest News

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • View All

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
More Videos

Quick Links

  • Guildlines Towards the use of ICT In Government
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Public Servant Portal
  • Takwimu
  • TANAPA

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap
    • FAQ

Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.