• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Arusha Regional

The United Republic of Tanzania President Office Regional Administration and Local Government Arusha Regional

  • Home
  • About Us
    • History
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa mikoa waliopita-Arusha
    • Dira na dhima
    • The basics
    • Strategies
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Units
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • District
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Councils
    • Arusha CC
    • Arusha DC
    • Meru DC
    • Monduli DC
    • Karatu DC
    • Longido DC
    • Ngorongoro DC
  • Investment Opportunities
    • Tourism
    • Livestock
    • Agricultre
    • Industrial
  • Our Service
    • Health
    • Education
    • Water
    • Land
    • Tourism
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events

RC MAKONDA AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA HOSPITALI YA WILAYA YA MONDULI

Posted on: May 27th, 2024

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. Paul Christian Makonda akikagua maendeleo ya mradi wa ujenzi wa miundombinu ya hospitali ya wilaya ya Monduli leo Mei 27, 2024.

Katika mradi huo, Mhe. Makonda ameipongeza Serikali ya awamu ya sita chini ya Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutoa fedha nyingi zilizoweza kutekeleza miradi ya maendeleo kisekta ikiwemo fedha za upanuzi wa majengo muhimu kwenye hospitali ya wilaya ya Monduli, majengo ambayo yanakwenda kukamilisha na kuipa hadhi ya hospitali ya wilaya hiyo pamoja na kuhakikisha wagonjwa wanapata huduma za afya ndani ya eneo lao.

" Tunaamini mwishoni mwa mwezi  Juni majengo yatakuwa yamekamilika na kuanza kutoa huduma, ninawasisitiza endeleeni kurekebisha changamoto zote zilizoainishwa na timu zilizotangulia na mimi, wakati mwingine nikija hapa nikute majengo yenye viwango vya ubora kulingana na thamani ya fedha zilizotolewa" Amesisitiza

Aidha, amekitaka Kitengo cha Ustawi wa Jamii kufanya  kazi vizuri ya kuhudumia wananchi wenye changamoto ili kuhakikisha wanazishughulikia kero zote na kuhakikisha zinaishia hapa bila ya kufika mkoani.

"Rai yangu kwa watendaji na waandisi mnapojenga maje go zingatieni mahitaji yote ya majengo ikiwemo maneneo ya kuingiza hewa na zima moto".Amesema Mhe. Makonda

Hata hivy Mhe. Makonda ameuagiza uongozi wa wilaya hiyo kusimamia ujenzi huo ili uweze kukamilika ifikapo mwishoni mwa mwezi Juni, 2024 na majengo hayo yaweze kutumikia kuwahudumia wananchi kama yalivyo makusudi ya serikali ya awamu ya sita.


Announcements

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO MTIHANI WA UTAMIRIFU (MOCK) 2025 DARASA LA SABA (VII)- MKOA WA ARUSHA June 07, 2025
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • View All

Latest News

  • KARIBU ARUSHA Mhe. KENAN LABAN KIHONGOSI MKUU WA MKOA WA ARUSHA

    June 26, 2025
  • KARIBU ARUSHA Mhe. KENAN LABAN KIHONGOSI MKUU WA MKOA WA ARUSHA

    June 26, 2025
  • SIKU YA KWANZA; WAKAZI WA ARUSHA WAJITOKEZA KWENYE KAMBI YA MADAKTARI BINGWA NA MABINGWA WABOBEZI

    June 23, 2025
  • RC MAKONDA ASHIRIKI MARATHON YA KKKT 2025

    June 21, 2025
  • View All

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
More Videos

Quick Links

  • Guildlines Towards the use of ICT In Government
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Public Servant Portal
  • Takwimu
  • TANAPA

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap
    • FAQ

Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.