RC MAKONDA AKAGUA UTOAJI WA HUDUMA ZA MAJI WILAYANI ARUMERU MKOANI ARUSHA.
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda akikagua utekelzaji wa mradi wa maji na hali ya utoaji wa huduma za Maji kwenye Mradi wa Maji Patandi Wilayani Arumeru Mkoani Arusha leo Alhamisi Oktoba 24, 2024.
Katika eneo hilo Serikali ya awamu ya sita imetekeleza mradi mkubwa wa ujenzi wa Tanki lenye ujazo wa lita laki tano ukitekelezwa kwa fedha za mfuko wa maji NWF ikiwa ni sehemu ya kampeni ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ya kumtua Mama ndoo kichwani.
Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.