• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Arusha Regional

The United Republic of Tanzania President Office Regional Administration and Local Government Arusha Regional

  • Home
  • About Us
    • History
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa mikoa waliopita-Arusha
    • Dira na dhima
    • The basics
    • Strategies
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Units
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • District
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Councils
    • Arusha CC
    • Arusha DC
    • Meru DC
    • Monduli DC
    • Karatu DC
    • Longido DC
    • Ngorongoro DC
  • Investment Opportunities
    • Tourism
    • Livestock
    • Agricultre
    • Industrial
  • Our Service
    • Health
    • Education
    • Water
    • Land
    • Tourism
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events

RC MAKONDA AMUOMBA RAIS WA ZANZIBAR KUSHIRIKIANA KATIKA SEKTA YA UTALII..

Posted on: May 18th, 2024

Na Elinipa Lupembe

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda, amemuomba Rais wa Serikali ya Mapinduzi  Zanzibar Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi kushirikiana katika kukuza sekta ya Utalii Arusha kwa kuwa mkoa wa Arusha na Zanzibar inategemeana kiutalii.

Mhe. makonda, ametoa ombi hilo wakati akitoa salamu za Mkoa wa Arusha kwenye semina ya WanaHisa wa Benki ya CRDB Group iliyofanyika kwenye Kituo cha Mikutano ya Kimataifa Arusha Mei 17, 2024 jijini Arusha.

Amefafanunua kuwa, kwa kuzingatia agizo alilopewa hadharani na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan wakati akiapishwa, agizo la kushughulikia masuala ya utalii na kuhakikisha Utalii unaimarika na kukua Arusha.

"Mhe. Rais, wewe ni ndugu yangu, ninatambua Arusha na Zanzibar zinategemeana katika sekta ya utalii na hili  hatuwezi kulikwepa kutokana na ukweli kuwa watalii wanaokuja Tanzania hutembelea Arusha na Zanzibar, nikuombe kila mtalii anayekanyaga Zanziba hakikisha anafika Arusha.

Amesema kuwa, anatambua kazi kubwa inayofanyika Zanzibar  katika sekta ya Utalii, ikiwa ni pamoja ujenzi wa Hoteli kubwa na kutumia fursa hiyo kumuomba Dkt. Hussen Mwinyi, kuwashawishi wawekezaji hao, kuwekeza pia mkoani Arusha, kutokana na upungufu wa vyumba vya kulala wageni kutokana na ongezeko la idadi kubwa ya watalii wanaofika mkoani Arusha, ikiwa ni matokeo ya program ya Tanzania 'The Royal Tour'.

"Licha ya kuhakikisha watalii wanaotua Zanzibar wanafika Arusha, tuwashawishi wawekezaji wa Hoteli Zanzibar kufungua matawi Arusha, jambo ambalo litachochea ukuaji wa utalii Arusha na Zanzibar kwa manufaa ya Taifa letu la Tanzania"

Hata hivyo, Mhe. Makonda ameishukuru Benki ya CRDB kuchagua Arusha kufanya mkutano mkubwa wa wanaHisa pamoja na ushirikiano mkubwa wanaotoka kwa mkoa wa Arusha.

Ikumbukwe kuwa, Mhe.Rais Dkt.Samia Suluhu Hassa alipomuapia Mhe.Makonda kuwa Mkuu wa Mkoa,  alimuagiza kwenda Arusha kuchochea sekta ya Utalii, agizo ambalo tayari ameanza kulitekeleza kwa vitendo.

Announcements

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • View All

Latest News

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • View All

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
More Videos

Quick Links

  • Guildlines Towards the use of ICT In Government
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Public Servant Portal
  • Takwimu
  • TANAPA

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap
    • FAQ

Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.