• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Arusha Regional

The United Republic of Tanzania President Office Regional Administration and Local Government Arusha Regional

  • Home
  • About Us
    • History
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa mikoa waliopita-Arusha
    • Dira na dhima
    • The basics
    • Strategies
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Units
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • District
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Councils
    • Arusha CC
    • Arusha DC
    • Meru DC
    • Monduli DC
    • Karatu DC
    • Longido DC
    • Ngorongoro DC
  • Investment Opportunities
    • Tourism
    • Livestock
    • Agricultre
    • Industrial
  • Our Service
    • Health
    • Education
    • Water
    • Land
    • Tourism
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events

RC MAKONDA ATAKA USHIRIKIANO BAINA YA SERIKALI NA ASASI ZA KIRAIA KATIKA KUWATUMIKIA WANANCHI.

Posted on: July 8th, 2024


Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda ameyakaribisha mashirika na Asasi za kiraia zinazofanya kazi mkoani Arusha, kuweza kushirikiana kwa karibu na ofisi yake na ofisi nyingine za Umma zilizopo kwenye maeneo yao, ili kuweza kushirikiana na kuongeza kasi katika kuwaletea wananchi maendeleo.


Mhe. Makonda ametoabrai hiyo wakati akifungua  mkutano wake na wadau wa Mashirika na Asasi za kiraia,  zinazoshughulika na maendeleo na huduma  jamii, kwenye ukumbi wa Mikutano Hoteli ya Gran Melia,  mapema leo Julai 08, 2024.


Mhe. Makonda amezitaka Asas hizo kushirikiana kwa karibu na Serikali katika kutatua changamoto za jamii kwa kuwa na uelewe wa pamoja katika kuyafikia  malengo ya Serikali kwa kuwa Serikali inatambua na kuthamini mchango mkubwa wa Asas za kiraia kwa kufanya kazi pamoja itawarahisishia wananchi kupata huduma.


"Niwakaribishe kuitumia ofisi ya Mkoa na iwe kama sehemu ya ofisi yenu kwa jambo lolote na yeyote mwenye shughuli ndani ya mkoa wa Arusha, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Ofisi ya mkuu wa wilaya ni ofisi yako, hivyo unapaswa kwenda kifua mbele na kuomba mahitaji yako ili ufanikishe kile unachokifanya ambacho sisi tunaamini ndicho kinachoweza kuleta tija kwenye maisha ya wananchi tunaowaongoza." ameongeza Mhe. Makonda.


Katika Mkutano huo wadau wa asasi hizo za kijamii zinazofikia takribani 1224, wanatoa maoni na changamoto zao kwa Mkuu wa Mkoa Mhe. Makonda ambaye ameahidi kuzifanyia kazi katika shabaha ya kuongeza ufanisi na kasi ya utendaji wao wa kazi na kuweka mazingira rafiki ya mashirika hayo katika kuwatumikia wananchi wa Mkoa wa Arusha.


Announcements

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • View All

Latest News

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • View All

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
More Videos

Quick Links

  • Guildlines Towards the use of ICT In Government
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Public Servant Portal
  • Takwimu
  • TANAPA

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap
    • FAQ

Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.