• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Arusha Regional

The United Republic of Tanzania President Office Regional Administration and Local Government Arusha Regional

  • Home
  • About Us
    • History
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa mikoa waliopita-Arusha
    • Dira na dhima
    • The basics
    • Strategies
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Units
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • District
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Councils
    • Arusha CC
    • Arusha DC
    • Meru DC
    • Monduli DC
    • Karatu DC
    • Longido DC
    • Ngorongoro DC
  • Investment Opportunities
    • Tourism
    • Livestock
    • Agricultre
    • Industrial
  • Our Service
    • Health
    • Education
    • Water
    • Land
    • Tourism
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events

RC MAKONDA ATOA MWEZI MMOJA, TAKUKURU KUWAPATA WALIOKWAPUA MILIONI 400 ZA WAENDESHA BODABODA.

Posted on: February 28th, 2025

Mkuu wa mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda leo Alhamisi Februari 27, 2025 ameipa mwezi mmoja Taasisi ya kupambana na kuzuia rushwa TAKUKURU mkoa wa Arusha kuhakikisha wanafanya uchunguzi, kuwahoji na kuwafikisha kwenye vyombo vya sheria wahusika wote wanaodaiwa kuiba takribani Milioni 400 zilizokuwa mali ya Umoja wa Bodaboda Mkoa wa Arusha.



Kauli ya Mkuu wa Mkoa imekuja kufuatia malalamiko yaliyotolewa leo na Viongozi wa Umoja huo wa bodaboda kwenye Kikao maalum cha kamati ya ushauri ya mkoa, kilichoketi leo kujadili makadirio ya mpango wa bajeti ya mwaka 2025/2026 ambapo inadaiwa kuwa mwaka 2018, wadau mbalimbali walichangisha fedha hizo na kuwekwa kwenye akaunti maalum ya umoja huo na baadae kuanza kuchotwa kupitia matawi mbalimbali ya benki na waliokuwa Viongozi wa Umoja huo.



Wakati wa kikao hicho, Katibu wa Umoja huo mkoa wa Arusha Hakim Msemo mbeke ya Wajumbe wa RCC amehoji ni kwanini imekuwa ngumu kwa watuhumiwa kukamatwa na kufikishwa mahakamani licha ya kuwa yeye binafsi amewahi kusafiri mpaka Dar Es salaam na kupata taarifa za wahusika na kisha kuzifikisha TAKUKURU lakini bado kumekuwa na kigugumizi katika kuwachukulia hatua.



Mhe. Makonda katika maelezo yake ameeleza kulifahamu suala hilo kabla hata hajawa Mkuu wa Mkoa, akitoa hadi Machi 27, 2025 TAKUKURU itoe ripoti kwa wanahabari kuhusu uchunguzi wa suala hilo na ikiwa hakutokuwa na majibu Mkoa utahitimisha kuwa baadhi ya maafisa wa TAKUKURU nao ni miongoni mwa wanufaika wa wizi huo.


Announcements

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO MTIHANI WA UTAMIRIFU (MOCK) 2025 DARASA LA SABA (VII)- MKOA WA ARUSHA June 07, 2025
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • View All

Latest News

  • KARIBU ARUSHA Mhe. KENAN LABAN KIHONGOSI MKUU WA MKOA WA ARUSHA

    June 26, 2025
  • KARIBU ARUSHA Mhe. KENAN LABAN KIHONGOSI MKUU WA MKOA WA ARUSHA

    June 26, 2025
  • SIKU YA KWANZA; WAKAZI WA ARUSHA WAJITOKEZA KWENYE KAMBI YA MADAKTARI BINGWA NA MABINGWA WABOBEZI

    June 23, 2025
  • RC MAKONDA ASHIRIKI MARATHON YA KKKT 2025

    June 21, 2025
  • View All

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
More Videos

Quick Links

  • Guildlines Towards the use of ICT In Government
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Public Servant Portal
  • Takwimu
  • TANAPA

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap
    • FAQ

Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.